Notice: Undefined offset: 1 in /home/kunduchibeachsda/public_html/kunduchibiblelms/main/inc/lib/api.lib.php on line 1516
SAUTI YA UNABII

Masomo haya yanaletwa kwako na kanisa la waadventista wasabato Kunduchi Beach SDA. Tunakuombea Mungu akupe Roho Mtakatifu Ukagundue kusudi la Mungu kwa Maisha yako, Na hiyo ukazidi kumpenda sana Mungu wako. Tubarikiwe sote. Amina
 
Mpango wa Mungu

Kujua mpango wa Mungu  juu ya mwanadamu tangu anguko la dhambi

JE MUNGU ANA MPANGO GANI KWA WATU WAKE

1. NI WATU WA NAMNA GANI AMBAO HAWAAMINI KWAMBA  YUKO MUNGU?

2.  JE TUNAJIFUNZA NINI KUTOKANA NA  MAFUNGU HAYA?

3. JE, KUNA MUNGU ZAIDI YA MMOJA?

4.  MIUNGU IFANYWAYO NA WATU INA UDHAIFU GANI?

5. NI NANI PEKEE AWEZAYE KUWA MUNGU WA KWELI

6. TWAWEZA KUJUA NINI JUU YA TABIA YA MUNGU?

7.  JE, MUNGU HUYU MMOJA, ANATUAMBIA KWELI,AMA ANATUAMBIA UONGO? 

8. JE, MUNGU HUYU MMOJA NI DHAIFU AMA MWENYE NGUVU?

9. KUNA MTU ALIYEMWONA MUNGU?

10. JE, MUNGU HUSEMA NA WATU WA DUNIA HII KWA NAMNA GANI?

11. JE, NI HAKI GANI KUU AMBAYO BIBLIA INAFUNDISHA JUU YA UHUSIANO WA MUNGU NA WANADAMU?

12. NI MWALIKO GANI WA AJABU MUNGU ANAUTOA KWA WATU WAKE?